4 Sep 2025 1:15 pm | Citizen TV 2,744 views Duration: 1:43 Mipasuko ya ardhi imeshuhudiwa katika mzunguko wa Ever ready Nakuru magharibi kwa mara ya pili katika kipindi cha mwaka moja.