4 Sep 2025 10:13 am | Citizen TV 13,276 views Duration: 5:45 Mipasuko ya ardhi kwenye barabara ya Nakuru kwenda Nairobi imewatia hofu wasafiri na wakazi wanaoishi karibu na eneo hilo.Evans asiba anaungana nasi mubashara kutoka Nakuru kwa mengi zaidi