Miradi ya afya na mazingira ya wafugaji yapigwa jeki eneo la Isiolo

  • | Citizen TV
    257 views

    katika juhudi za kuimarisha afya na kuinua maisha ya jamii za wafugaji kaunti ya Isiolo, mashirika yasiyo ya kiserikali yametoa ufadhili wa shilingi milioni 4.4 kwa makundi 19 ya kijamii ili kujenga vyoo na maeneo ya kuhifadhi maji shuleni na maeneo ya maabadi