MIRADI YA BARABARA

  • | KBC Video
    5 views

    Serikali inanuia kukamilisha ujenzi wa barabara zote humu nchini kufikia mwishoni mwa mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uchukuzi na muundo msingi, George Kariuki amesema wana-kandarasi wote watatakiwa kurejelea ujenzi wa barabara hizo kuanzia mwezi Machi. Alisema hayo katika shule y msingi ya Kibiru wakati wa mashindano ya soka yaliyodhaminiwa na afisi yake kuangazia umuhimu wa masomo ya kiufundi kwa vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive