Miradi ya China Nchini Kenya

  • | Citizen TV
    931 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amepongeza juhudi za Rais William Ruto za kupata ufadhili kutoka China, akisema mikopo hiyo itakuwa na mchango mkubwa katika kubadilisha miundombinu ya eneo la Magharibi.