Miradi ya maji yazinduliwa Bungoma na Transnzoia

  • | Citizen TV
    249 views

    Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti za bungoma na trans nzoia baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa uchimbaji maji unaofadhiliwa na wadhamini kutoka marekani.