Skip to main content
Skip to main content

Mishahara ya polisi na NYS yapandishwa maradufu kuanzia Julai 2024, afisa wa chini kupata KSh 57,700

  • | Citizen TV
    5,734 views
    Duration: 3:15
    Ni afueni kwa maafisa wa idara ya polisi na wale wa shirika la huduma kwa vijana NYS kufuatia nyongeza maradufu ya mishahara yao. Afisa wa Polisi mwenye cheo cha chini kabisa sasa atalipwa mshahara wa shilingi 57,700 elfu kila mwezi. Misharaha hiyo itakadiriwa tangu Julai mwaka wa 2024 ambapo ilistahili kuanza kutekelezwa.