Miss Rwanda 2022 atuma ujumbe kwa rais Kagame

  • | BBC Swahili
    744 views
    Miss Rwanda 2022 Janette Uwimana Mrembo wa kwanza nchini Rwanda kuwa na ulemavu wa kusikia (kiziwi) amuomba Rais Paul Kagame kuwaruhusu viziwi kuendesha magari. - - #bbbcswahili #rwanda #viziwi #ulimbwende #missrwanda2022 #paulkagame