Misukosuko Posta: Waziri Owalo afika mbele ya kamati ya bunge

  • | KBC Video
    71 views

    Waziri wa habari, mawasiliano, teknolojia na uchumi wa Kidijitali Eliud Owalo ameiomba wizara ya fedha kuiwezesha tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC kulipa shilingi bilioni 1 inazodaiwa na shirika la posta nchini ambalo kwa sasa linakabiliwa na changamoto za kifedha. Ili kumaliza mzozo uliopo kati ya wafanyikazi na wasimamizi, waziri huyo ameagiza shirika hilo kutanguliza ulipaji wa malimbikizi ya mishahara ya miezi mitano. Waziri Owalo alizungumza alipofika mbele ya kamati ya seneti ya habari, mawasiliano na teknolojia ICT.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News