Mitambo ya kukausha mahindi yazinduliwa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    422 views

    Wakulima katika kaunti ya trans nzoia wameanzisha matayarisho ya kukabiliana na hasara ambayo huwakumba kila msimu wa mvua baada ya mavuno. Wakulima hao wamekumbatia teknolojia ya mitambo ya kukausha nafaka ikiwemo mahindi iliyosambazwa na wizara ya kilimo. Na kama anavyoarifu collins shitiabayi, wakulima katika eneo hilo hupoteza zaidi ya magunia milioni 1.5 ya mahindi kila mwaka kwenye hasara ya baada ya mavuno.