Mitazamo ya zamani yazua hofu kuhusu chanjo, baadhi hudhani ni njama ya kudhibiti uzazi -Rose

  • | TV 47
    2 views

    "Mojawapo ya changamoto katika utoaji wa chanjo kwa watoto ni mitazamo ya zamani kwa baadhi ya wakazi wa maeneo ya vijijini. Baadhi yao hudhani kuwa serikali ina njama ya kudhibiti uzazi kwa wanao kupitia chanjo hizo, hivyo hukataa kushirikiana." -Rose Mbithe, Mhudumu wa Afya Nyanjani (CHP)

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __