- 208 viewsUmoja wa Muungano wa Afrika (OAU), ambayo hivi sasa ni Umoja wa Afrika (AU), uliundwa Mei 25, 1963, huko Addis Ababa, Ethiopia, kukuza umoja na mshikamano kati ya nchi za Afrika na kuchangia katika maendeleo ya uchumi, kijamii na kisiasa barani humo. OAU iliasisiwa na mataifa ya Kiafrika 32 ambayo yalikuwa yamejipatia uhuru. Tukio la kukumbukwa wakati umoja huo unaundwa ilikuwa ni upandaji mti uliofanywa na viongozi wa mataifa hayo 32. Miaka 62 baadaye, miti hiyo bado inaendelea kuwa ni kivutio kinachoonekana huko Addis Ababa, ambapo watu huketi katika vivuli vya miti hiyo. Katika Mkutano wa 38 wa AU, mwandishi wa VOA Kennedy Abate alitembelea eneo la Afrika Park kuchukua picha za miti hiyo iliyopandwa na Mfalme Haile Selassie, Kwame Nkrumah, Jomo Kenyatta, na viongozi wengine waasisi. #AU #africanunion #ethiopia #voa
Miti iliyopandwa na waasisi wa Umoja wa Afrika miaka 62 iliyopita
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - More than 100,000 small businesses across the country will benefit from a KSh5 billion grant to boost the enterprises, President William Ruto has announced. The President said the government, in partnership with the World Bank, will provide KSh50,000 to…
- 16 Jun 2025 - President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
- 16 Jun 2025 - Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
- 16 Jun 2025 - Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
- 16 Jun 2025 - Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
- 16 Jun 2025 - The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
- 16 Jun 2025 - Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
- 16 Jun 2025 - Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
- 16 Jun 2025 - Deadly shortcut: Fake yellow fever cards pose threat to public health