Mitihani ya KCPE na KPSEA yaanza kote nchini

  • | Citizen TV
    1,039 views

    Mitihani ya kitaifa ya gredi ya sita na darasa la nane kote nchini imeanza leo huku shule 67 za kibinafsi kaunti za Bungoma na Uasin Gishu zikikosa kufanya mitihani hii. Hii ni baada ya wasimamizi katika shule hizo kukosa kuchukua karatasi za mitihani hiyo. Zaidi ya watahiniwa milioni mbili unusu wanafanya mitihani hii,