- 847 viewsDuration: 3:31Mitihani ya kitaifa ya KPSEA na KJSEA ikitarajiwa kukamilika hii leo kote nchini, wadau wa elimu wamesifia mfumo wa elimu ya kwa kuleta mageuzi makubwa katika ujuzi wa wanafunzi. Wadau hao wamesema kuwa, tofauti na mtalaa wa zamani uliozingatia zaidi nadharia, CBC imewapa wanafunzi fursa ya kupata maarifa ya vitendo na kutumia ubunifu wao katika kutatua changamoto za kila siku.