- 13,828 viewsDuration: 20sVideo hii inaonyesha moto katika barabara mjini Tehran karibu na ghala la kuhifadhi mafuta. BBC imethibitisha video hii iliyorekodiwa katika mitaa ya Tehran, ambapo moto umesambaa hadi Barabara ya Koohsar kufuatia shambulizi la Israel kwenye ghala la mafuta la Shahran, kaskazini-magharibi mwa mji mkuu huo. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema lilishambulia “maeneo kadhaa ya kuhifadhi mafuta” katika mji mkuu wa Iran. - - #bbcswahili #moto #iran #mafuta #foryoü Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw