13 Mar 2026 10:20 am | Citizen TV 575 views Duration: 2:18 Miungano ya kinamama viongozi eneo la Gusii imesikitikia matumizi ya vijana kuzua vurugu katika mikutano ya Kisiasa jambo ambalo huenda likachangia kina mama kutojitokeza kikamilifu kutafuta nyadhfa mbalimbali za Kisiasa.