Miungano ya makanisa yataka jukumu la udhibiti liachiwe kanisa

  • | K24 Video
    53 views

    Miungano ya makanisa nchini imeendelea kupinga mapendekezo ya kufanyia marekebisho sheria inayodhibiti kuabudu kando na serikali kusimamia shughuli za kidini. Badala yake viongozi wa dini wanataka jukumu la kudhibiti madhehebu liachiwe kanisa na taasisi zake. kikao cha jopo kazi la kukusanya maoni lilipozuru Uasin Gishu na kutuandalia taarifa ifuatayo.