Miungano ya wahudumu wa Afya yatishia mgomo iwapo serikali haitawapa wahudumu wa UHC malimbikizi yao

  • | NTV Video
    130 views

    Miungano ya wahudumu wa afya nchini imetangaza kugoma baada ya wiki mbili iwapo serikali kuu haitawajibika na kuwapa wahudumu wa afya chini ya UHC malimbikizi yao na kuwapa mikataba ya kudumu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya