Mivutano inaonekana kuendelea huko Capitol Hill Marekani

  • | VOA Swahili
    252 views
    - - - - - Licha ya ukweli kwamba serikali ya Marekani haijafungwa, lakini inaonekana kuna wiki nyingine ya mivutano huko Capitol Hill. Mbunge mconservative ameahidi kuendelea ‘bila ya kusita’ na juhudi zake za kumuondoa spika wa Bunge Mrepublican Kevin McCarthy.