Mizani ya Haki

  • | KBC Video
    Mahakama kuu ya Mombasa imeiagiza serikali itangaze hadharani kandarasi ya ujenzi wa reli ya kisasa baina ya serikali za Kenya na China. Walalamishi wawili waliwasilisha kesi kwenye mahakama hiyo wakisema kuwa kandarasi hiyo inafaa kutangazwa hadharani kuambatana na sheria ya mwaka 2016kuhusu upatikanaji wa habari. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #MizaniyaHaki