Mizani ya haki | Polisi wamsaidia Linturi kumtimua Keitany Runda

  • | KBC Video
    23 views

    Mahakama imeamuru kuhamishwa kwa mbunge wa Aldai Maryanne Keitany kutoka kwa nyumba moja katika mtaa wa Runda jijini Nairobi ambayo inadaiwa kumilikiwa na aliyekuwa mumewe na ambaye kwa sasa ni waziri wa kilimo Mithika Linturi. Nyumba hiyo imekuwa ikizozaniwa na wawili hao. Kwa hizi na habari nyingine ni katika habari zifuatazo kutoka mahakamani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News #mithikalinturi #MaryanneKeitany