Mjadala kuhusu mswada wa kifedha washamiri hafla ya mazishi ya marehemu Mukami Kimathi

  • | KBC Video
    138 views

    Siasa zilishamiri wakati wa hafla ya mazishi ya marehemu Mukami Kimathi huku rais William Ruto akiwa kwenye jukwaa moja na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Rais Ruto kwenye hotuba yake alisema mswada wa kifedha utawanusuru walipaji ushuru kutokana na deni la shilingi nusu bilioni. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga hata hivyo alikosoa mswada huo akisema kuwa utazidisha tu gharama ya maisha na kuwatumbukiza wakenya kwenye lindi la maskini.

    #financebill #mukamikimathi #dirayamagwiji