Mjadala Maalum : Je nini mustakabali wa lugha ya Kiswahili katika ulimwengu wa kesho?

  • | BBC Swahili
    1,266 views
    Idhaa ya Kiswahili ya BBC imekuwa na inaendelea kuwa kiungo muhimu katika jamii ya watu wanaozungumza Kiswahili katika eneo la Afrika Mashariki , Maziwa Makuu na duniani. Kwa mantiki hii Idhaa ya BBC Swahili iliandaa mdahalo na wadau wa lugha ya Kiswahili visiwani Zanzibar ilipokuwa ikiadhimisha miaka 65 ya utangazaji. Tazama mjadala ulivyokuwa Zanzibar . . . #BBCSwahili65 #zanzibar #MustakabaliwaSwahili