Mjadala wa mswada wa fedha wa mwaka 2023/2024 wazua tumbojoto nchini

  • | Citizen TV
    1,192 views

    Mjadala wa mswada w afedha wa mwaka 2023/2024 umezua tumbojoto nchini huku wabunge wakielezea maoni tofauti kuhusu baadhi ya vipengee vilivyoko kwenye mswada huo. Japo wabunge wa serikali wamekiri kuwa kuna baadhi ya vipengee vinavyohitaji mabadiliko zaidi, wabunge wengi wa upinzani wamekosoa mswada huo na kuutaja kuwa kitanzi wa wananchi.