Mjane afurushwa kutoka kwa nyumba yake na jamaa za mumewe

  • | Citizen TV
    1,804 views

    Mwanamke mmoja ambaye ni mjane kutoka kijiji cha shimanyiro eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega amepewa makao ndani ya kanisa moja baada ya jamaa za marehemu mumewe kubomoa nyumba yake na kumfurusha kwa madai kuwa hafai kurithi mali ya mumewe.