Mjane mmoja kaunti ya Kakamega aomba kusaidiwa baada ya kufukuzwa na wakwe zake

  • | KBC Video
    213 views

    Mjane mmoja kutoka kaunti ya Kakamega ambaye anadaiwa kutengwa na familia yake anaomba wahisani wamsaidie. Catherine Akasa aliye na umri wa miaka 48 ambaye amelazimika kuishi katika makazi ya muda, alifukuzwa na wakwe zake kutoka Emusali Malinya, Ikolomani baada ya mumewe kufariki. Hali ilizidi kuwa mbaya wakati nyumba ya familia yake alikozaliwa ilibomolewa baada ya wazazi wake kufariki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive