22 Oct 2026 1:23 pm | Citizen TV 507 views Mjane wa marehemu mfanyabiashara Gerishon Kirima ameonya mtu yeyote, benki, au kampuni ambayo itafanya shughuli au kununua ardhi ya Njiru kaunti ya nairobi itahatarisha kupoteza pesa.