Mjane wa miaka 76 amepokezwa nyumba mpya na vifaa vipya

  • | Citizen TV
    357 views

    Mjane mwenye umri wa miaka 76, Margaret Anyango Oriema, kutoka kijiji CHA Gangu, Rarieda, amepokea nyumba mpya pamoja na samani na vifaa vya malazi, msaada uliotolewa na taasisi ya katibu wa wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo