Mjane wa umri wa miaka 70 eneo la Butula anaishi kwa hofu ya kupokonywa ardhi yao na wakwe zake

  • | Citizen TV
    267 views

    Familia ya Faustina Anyango, mjane wa umri ya miaka 70 katika eneo la Masendevare, Butula kaunti ya Busia inaishi kwa hofu ya kupokonywa ardhi yao na wakwe zake baada ya mumewe kufariki mwaka 2011.