Mjasiriamali Awavutia Vijana Kununua Bidhaa, Wasema ni Bei Nafuu

  • | VOA Swahili
    131 views
    Kutana na kijana mjasiriamali Nasra Abdallah aliyejizolea umaarufu katika msimu wa Ramadhani kutokana na biashara yake ya kuuza abaya na kanzu za mitumba katika duka lake la House of Abaya. Lakini nini siri ya biashara yake kukua na kuzikonga nyonyo za vijana? Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa ambaye anazungumza na vijana wa rika mbalimbali mjini Mombasa, ambao wanaeleza jinsi biashara hiyo ilivyoweza kuwasaidia kununua bidhaa ambazo ni bei nafuu na za mitindo ya kisasa. Endelea kusikiliza... #vijana #houseofabaya #ramadhan #nasraabdallah #bei #mitindo #biashara #beinafuu #voa #voaswahili #mombasa #kenya