Mjasiriamali wa kutengeneza magitaa Tanzania

  • | BBC Swahili
    283 views
    Mjasiriamali mmoja nchini Tanzania, Pardon Modest amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na kipaji alichonacho cha kutengeneza/kuunda magitaa ya umeme kwa kutumia malighafi zinazopatikana nchini humo ikiwemo mbao, nyaya na vipuli mbalimbali. Sambamba ameweza kutengeneza fursa kwa vijana kwa kuwafundisha stadi hiyo lakini pia jinsi ya kuvitumia. Mwandishi wa BBC, @lasteck2023 alimtembelea mtaalamu huyo na kuandaa taarifa hii… 🎥 Nicholaus Mtenga #bbcswahili #tanzania #muziki