Mkaazi auawa na kichwa kuwekwa ndani ya sufuria, Kericho

  • | Citizen TV
    3,723 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa huku barabara zikifungwa mjini Kericho hii leo, wakaazi walipoandamana kulalamikia kusalia huru kwa mshukiwa wa mauaji. Wakaazi wakilalamikia kuuawa kwa mkaazi mmoja na kichwa chake kupatikana ndani ya sufuria kilomita mbili kutoka eneo la tukio.