Mkaguzi mkuu wa hesabu za fedha za umma atoa ripoti bungeni

  • | Citizen TV
    1,752 views

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali Nancy Gathungu amefichua jinsi takriban shilingi bilioni mia sita zimetumika na serikali kuu bila idhini ya bunge la taifa kama inavyohitajika kikatiba. aidha Gathungu amefichua kuwa serikali iliopo sasa imetumia shilingi bilioni 147 katika kipindi cha chini ya mwaka moja pekee, tena bila idhini ya bunge la taifa.