Mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakango akamatwa na maafisa wa DCI mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    4,843 views

    Mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakango anazuiliwa mjini Mombasa, anakoandikisha taarifa kuhusiana na malalamikishi yanayohusu usimamizi wa fedha kwa chama cha ushirika alichokuwa akiendesha kabla ya kuwa mkaguzi wa bajeti. Inaarifiwa kuwa, nyakango anazuiliwa mjini mombasa kuandikisha taarifa hii. Nyakango pamoja na wenzake 10 wanatarajiwa kushtakiwa kwa njama ya kujaribu kuwaibia wateja na kukosa kusajili shirika hilo.