Mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakang'o alalamikia utumizi mbaya wa fedha za serikali

  • | Citizen TV
    1,257 views

    Nyakang'o: Safari Zimezidi Mkaguzi Wa Bajeti Asema Safari Za Serikali Ni Nyingi Anasema Kuwa Takriban Ksh 10b Zilitumika Kwa Safari Pia Analalamikia Ubadhirifu Wa Fedha Kwa Mikutano Anasema Waliostaafu Bado Hawajalipwa Ksh 108.1b