20 Aug 2025 10:21 am | Citizen TV 878 views Duration: 2:28 Mkaguzi wa bunduki katika idara ya upelelezi - DCI- amekosa kubaini ni bunduki gani miongoni mwa zile zinazochunguzwa ilitumiwa kuwauwa vijana wawili mtaani Eastleigh mwaka wa 2017