Mkaguzi wa DCI ashindwa kubaini bunduki Iliyoua vijana Eastleigh mwaka wa 2017

  • | Citizen TV
    1,060 views

    MKAGUZI WA BUNDUKI KATIKA IDARA YA UPELELEZI - DCI- AMEKOSA KUBAINI NI BUNDUKI GANI MIONGONI MWA ZILE ZINAZOCHUNGUZWA ILITUMIWA KUWAUWA VIJANA WAWILI MTAANI EASTLEIGH MWAKA WA 2017. SHAHIDI AMEIELEZA MAHAKAMA KUWA ILIKUWA VIGUMU KUBAINI HILO KWA SABABU KATI YA BUNDUKI HIZO, HAKUNA ILIYOAMBATANA NA MAGANDA YA RISASI KUTOKA ENEO NA TUKIO