Mkaguzi wa hesabu asema ksh. 16.85b zimepotea NSSF

  • | Citizen TV
    141 views

    Ripoti ya fedha yaonyesha matumuzi mabaya ya fedha Hii ni kupitia ununuzi wa hisa na dhamana za hasara NSSF yatuhumiwa kwa kupoteza pesa kupitia ununuzi wa ardhi Gharama ya kufanya mikutano, kununua magari pia yakosolewa