Mkaguzi wa hesabu za serikali aikosoa serikali

  • | Citizen TV
    1,463 views

    Mkaguzi wa hesabu za serikali Nancy Gathungu amekosoa serikali kwa kupendekeza kupunguzwa kwa bajeti ya kukabiliana na majanga kwa zaidi ya shilingi bilioni tatu. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bajeti Gathungu amesema kufuatia mafuriko yaliyoshuhudiwa nchini kuna haja ya serikali kuongeza fedha hizo kukabiliana na hali hii na wala sio kupunguza bajeti hiyo