Mkanganyiko wa habari katika uchaguzi wa Kenya

  • | VOA Swahili
    1,057 views
    Hali ya sintofahamu na wasiwasi imewakumba baadhi ya wakenya kufuatia mkanganyiko wa hesabua za kura zinazotolewa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii hasa kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais. Mashirika ya kutetea haki za kibinadam sasa yanahofia huenda mzozo ukachipuka iwapo Uchapishaji wa matokeo ya kujumlisha kura zote hautaambatana na uwazi.