Mkanganyiko wa JSS bado washuhudiwa shule za umma

  • | Citizen TV
    816 views

    Shule za umma nchini bado zinatapatapa kutekeleza masomo ya sekondari msingi, juma la pili baada ya wanafunzi kuripoti shule. Mkanganyiko kuhusu tajriba za walimu na hata mbinu za mafunzo zimesalia kutatizo shule nyingi.