Mkasa wa Enderesha; Idadi ya walioafa kuongekeza na baadhi yao hawajulikani waliko

  • | NTV Video
    168 views

    Inahofiwa kuwa huenda idadi ya wanafunzi walioaga dunia katika mkasa wa moto shuleni hillside endarasha kaunti ya nyeri ikaongezeka kwani baadhi ya wanafunzi hawajulikani waliko. Kufikia sasa idadi ya waliothibitishwa kufariki ni 17 huku 14 wakiendelea kupokea matibabu hospitalini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya