Mkasa wa moto katika shule ya upili ya vijana ya Krisia katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    228 views

    Moto mkubwa umeteteketeza bweni la shule ya upili ya vijana ya Krisia katika kaunti ya Samburu usiku wa kuamkia Leo. Mkasa huo wa moto ni wa pili kushuhudiwa katika shule hiyo chini ya muda wa wiki Moja.