Mkata wa SGR: Hisia mseto zaibuka kutokana na mkataba wa SGR baada ya makubaliano hayo kuwekwa wazi

  • | KTN News
    3,760 views

    Hisia mseto zimeendelea kuibuka, kuhusu mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR, siku moja baada ya runinga ya KTN News kuweka paruwanja makubaliano hayo. Waziri wa barababara na uchukuzi Kipchumba Murkomen ameagiza bunge kujadili mkataba huo, pia akiweka wazi, kupitia kwa mtandao wake wa Twitter mojawapo ya mikataba hiyo. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Emmanuel Too, bunge liko tayari kupokea mkataba huo wakati wowote kutoka hapo kesho.#trending ] #KTNNews #livestream #ktnprime KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7

    Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News

    SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

    Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

    KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews