Mkataba wa kusambaza umeme Tana River umetiwa saini

  • | Citizen TV
    140 views

    Gavana wa kaunti ya tana river dadho godana ameihimiza serikali kuu kuisadia kaunti yake kuwekeza katika miundo mbinu ili kuisaidia tana river kunufaika kutokana na mradi wa lapset.