- 1,189 viewsDuration: 3:48Taharuki imetanda katika Kijiji cha Lorogon Turkana Kusini mpakani mwa kaunti ya Pokot magharibi na Turkana,baada ya wezi wa mifugo kuvamia Kijiji hicho,kuuwa mtu na kutoweka na mifugo .Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,wakazi wa Lorogon wanataka serikali iingilie kati kuwasaidia kwani mashambulizi ya kulipizana kisasi yamezidi .