Mkazi wa Haiti anayejulikana kimataifa, akanusha kujihusisha na uhalifu

  • | VOA Swahili
    314 views
    Mwananchi anayeshukiwa kuwa kiongozi wa genge anayehofiwa Haiti atoa dukuduku lake akisema yeye siyo mhalifu bali ni mpambanaji wa kijamii anayetaka maisha bora kwa wote katika jamii. Endelea kusikiliza jinsi anavyoeleza sababu zinazopelekea watu kujihami kama anavyofanya yeye... #mwananchi #kiongozi #genge #mhalifu #jamii #maishabora #voa #voaswahili #haiti #portauprincehaiti - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.