Mke auguza majeraha baada ya kudungwa kisu na mumewe, Butere

  • | NTV Video
    #NTVJioni #NTVNews #NTVKenya Mwanamke wa umri wa makamo kutoka kijiji cha Lunza eneo la Butere kaunti ya Kakamega anauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Mbale, kaunti ya Vihiga. Subscribe to NTV Kenya channel for the latest Kenyan news today and every day. Get news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya