Skip to main content
Skip to main content

Mkenya awaomba serikali kutoa majibu kuhusu utoaji wa pasipoti kwa raia wa kigeni

  • | Citizen TV
    5,928 views
    Duration: 2:22
    Mkenya mmoja amewasilisha ombi la kutaka taarifa kutoka kwa serikali kuhusiana na sakata ya utoaji wa pasipoti kwa raia wa kigeni. Wakili Peter Wahinya amemwandikia waraka mkurugenzi wa uhamiaji akitaka majibu kuhusu utaratibu uliofuatwa kuwapa makamanda wa wapiganaji wa RSF ya Sudan pasipoti za Kenya, pamoja na raia wa Zimbabwe mwenye rekodi ya uhalifu