Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda mbio za marathon za Berlin, Ujerumani

  • | Citizen TV
    5,266 views

    Mkenya Eliud Kipchoge ameandikisha rekodi nyingine ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda mbio za marathon za Berlin kwa mara ya tano hii leo. Wakenya walijitokeza kwa wingi mjini Berlin, kushuhudia Kipchoge akitwaa ubingwa kwa mara nyingine